Saturday, April 30, 2016

BAYERN MUNICH KUWA MMABINGWA LEO?




FC Bayern München watashinda taji la Bundesliga leo endapo watafanikiwa kupata ushindi dhidi ya Borrusia Mönchengladbach katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena.




CLAUDIO RANIEL ANATAKA AINGIE KWENYE REKODI HII YA EPL TANGU 1992

EPL Trophy
Premier League inatazamwa kama ligi bora ya ndani kama siyo duniani, inajumuisha vilabu vyenye mashabiki wengi kwenye sayari hii. Vilabu kama Manchester United, Chelsea, Liverpool na Arsenal lakini inabakia kuwa ligi inayotazamwa zaidi na yenye ushindani zaidi ambapo timu yoyote inaweza kufungwa bila kujali inafungwa na timu iliyonafasi gani.
Tangu kuanzishwa kwa Premier League mwaka 1992, ni mameneja saba pekee ambao wameweza kutwaa taji hilo wakiwemo Sir Alex Ferguson, Arsene Wenger na Jose Mourinho.
Lakini kuna mwanaume mwingine ambaye anaweza kuungana na magwiji hao, jinalake ni Claudio Ranieri.
Ranieri
Leicester ya Claudio Ranieri inahitaji pointi tatu pekee ili kutwaa ubingwa wa Premier League, na wanaweza kufanikiwa katika hilo kwa kuifunga Manchester United Jumapili hii.
Ranieri aliteuliwa kuchukua nafasi ya Nigel Pearson wakati wa majira ya joto yaliyopita baada ya kocha huyo wa Kigiriki kupigwa chini na sasa Rarieri yuko mbioni kuwa kocha wa nane kushinda taji la Premier League.
Lakini ma-manager wengine ambao tayari wameshaandika historia zao kwenye kitabu cha makocha waliowahi kushinda Premier League ni hawa wafuatao
7. Carlo Ancelotti-Chelsea-taji 1
Muitaliano huyo mwenye uzoefu alichukua nafasi ya Guus Hiddink mwaka 2009 ambaye alikuwa kocha wa muda. Baada ya miezi miwili pekee ndani ya jiji la London, Ancelotti alinyakua ngao ya jamii ( Community Shield) baada ya kuifunga Manchester United chini ya Sir Alex Furguson kwa mikwaju ya penati kufuatia draw ya 2-2.
He also led the Stamford Bridge outfit to domestic double Premier League and FA Cup titles in his first season at the club.
Alikisaidia kikosi hicho cha Stamford Bridge kutwaa mataji mawili Premier League na FA Cup kwenye msimu wake wa kwanza ndani ya Chelsea.
Maji aliyoshinda:
  • Premier League: 2009–10
Ancelotti
6. Kenny Danglish-Blackburn Rovers-taji 1
Kenny Dalglish alikiongoza kikosi cha Blackburn Rovers kushinda kombe la Premier League msimu wa 1994/95, wakimaliza kwa pointi moja mbele ya Manchester United shukrani za pekee zikienda kwa Shearer ns Sutton kwa partnership yao ya hatari.
Shearer na Sutton ni miongoni mwa safu hatari kuwahi kutokea ndani ya Premier League, kwa pamoja wakiwa wamefunga jumla ya magoli 46 (Shearer 31 na Sutton 15) wakiwa wameifungia Blackburn Rovers na kuiwezesha kuchukua ndoo hiyo ya EPL mikononi kwa Manchester United.
dalglish and sherwood web.jpg-pwrt2
5. Manuel Pellegrini-Manchester City-taji 1
Raia huyo wa Chile aliteuliwa kuwa kocha mpya wa Manchester City mwaka 2013 baada ya kuondoka kwa Roberto Mancini, Manuel Pellegrini alikuwa kocha wa kwanza kutoka nje ya Ulaya kushinda Premier League ndani ya msimu wake wa kwanza kwenye dimba la Etihad Stadium.
Manuel
Roberto Mancini-Manchester City-taji 1
Kocha huyo kutoka Italia alikichukua kikosi cha City kutoka mikononi kwa Mark Hughes kuanzia mwaka 2009 hadi 2011.
Msimu wake wa kwanza, Mancini aliisaidia Man City kumaliza nafasi ya tano, nafasi ya juu kuwahi kushika kabla ya kuiongoza kutwaa taji lao la kwanza mwaka 2012 baada ya miaka 44.
Kikosi cha Mancini ilibidi kipambane kufuta pengo la pointi nane kati yao na Manchester City ndani ya mechi sita za mwisho, kabla ya kutwaa taji hilo dakika za lala salama kwenye mchezo wao wa mwisho kwa magoli yaliyofungwa na Edin Dzeko na Sergio Aguero dhidi ya Queens Park Rangers.
Mancini
3. Arsena Wenger-Arsenal-mataji 3
Mfaransa huyu alitua Arsenal mwaka 1995, tangu kipindi hicho wakali hao wa London Kaskazini hawajamaliza nje ya nafasi za kucheza Champions League (top four).
Wenger amekiongoza kikosi cha The Gunners kutwaa mataji matatu ya Premier League ndani ya miaka yake 19 aliyodumu lakini ameshindwa kutwaa taji hilo tangu mwaka 2004.
Mataji aliyoshinda:
  • Premier League (3): 1997–98, 2001–02, 2003–04
ARSENAL FC MANAGER HOLDS THE FA CUP AND PREMIER LEAGUE TROPHIES.
2. Jose Mourinho-Chelsea-mataji 3
Mourinho ameweza kutwaa mataji matatu ya Premier League ndani ya misimu mitano (kwa nyakati mbili tofauti), kwa sasa anatajwa kuwa miongoni mwa ma-kocha bora duniani akiwa ameweza kutwaa mataji ya ndani na vilabu vinne katika nchi nne tofauti.
2B18B31A00000578-3186872-image-a-12_1438859252117
Tuzungumzie England, Mourinho anashikilia rekodi ndani ya Premier League kama ile ya kuhukua kombe akiwa na pointi nyingi kwenye msimu baada ya kushinda kombe akiwa na pointi 95 mwaka 2004-05.
He also became the most dominant manager in Premier League history last campaign by spending entire season at the top of the table.
Msimu uliopita aliweka rekodi ya kuwa kocha iliyeiongoza Chelsea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa muda mrefu bila kuondolewa.
Mataji aliyoshinda:
  • Premier League(3): 2004–05, 2005–06, 2014–15
1. Sir Alex Ferguson-Manchester United-mataji 13
Nyota huyo wa Scotland alitumia miaka 27 akiwa kocha wa Manchester United kati ya 1986 na 2013, akifanikiwa kuweka rekodi ya kushinda mataji 13 ya Premier League na mengine mengi ya ndani pamoja na yale ya Ulaya.
Sir-Alex-Ferguson-008
Ferguson  alistaafu masuala ya soka mwaka 3013, ni kocha pekee ambaye ameweza kutwaa ubingwa wa Premier League mara tatu mfululizo kati ya 1998/99 na 2000/01 kisha akaruadia tena kati ya 2006/07 and 2008/09.
Mataji aliyowahi kutwaa:
  • Premier League (13): 1992–93, 1993–94, 1995–96, 1996–97, 1998–99, 1999–2000, 2000–01, 2002–03, 2006–07, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13

MANENO YA MUME WA TIWA SAVAGE AKIMSHTUMU MKEWE

Tunji Balogun, mume na meneja wa zamani wa msanii wa Nigeria, Tiwa Savage, anamtuhumu kuwa na uhusiano na Don Jazzy.
Kwenye mfululuzo wa post alizoziweka kwenye Instagram jana, Tee Billz kama anavyojulikana pia anamtuhumu mkewe kuwa amewahi kulala na Dr Sid na Tuface Idibia.
“Please just take care of JamJam. I sacrificed my life for you and put in work and my money to your success. You are Tiwa Savage the superstar now. You will never have peace with that fame,” aliandika.
Aliweka picha yenye maneno “It’s time to say goodbye” na kuwaomba msamaha wanae.
“I’m sorry Olabisi, Gaetano, Onah and Jamil. All daddy wanted to do is be a good father and take care of all of you but they won’t let me. @tiwasavage ask your mother to confess what she’s done to me,” aliandika.
“Within what period of time did you f*** Jazzy and Dr Sid. And I didn’t care because of the love I have for you. I looked at it that we all have a past even when at the same f**king time you were f***ing with 2face,” aliongeza.
Angalia zaidi post hizo chini ambazo ameshazifuta tayari.

IMG_20160428_171435_431

IMG_20160428_171525_251

IMG_20160428_171552_067


IMG_20160428_171611_359

SOurce bongo5

MOURINHO TAYALI KUTUA MAN UNITED

OSE MOURINHO amepewa uhakika katika masaa 48 yaliyopita kwamba atakuwa kocha mpya wa Manchester United.
  Kambi yake ilikuwa na wasiwasi kwamba United walikuwa wanamfikiria Laurent Blanc aje kuungana na Giggs kama ilivyoripotiwa mapema wiki hii. Lakini ameambiwa yeye ndiye anaetakiwa na wafanya maamuzi wa Old Trafford.
  Mazungumzo yameshafikia mwishoni na karibia kumalizika ndani ya siku 10 zijazo. 
Tangu mwezi wa 12 kulikuwepo na taarifa kwamba United wamefanya mawasiliano na Mourinho siku chache baada kocha huyo kufukuzwa Na Chelsea.
Aliambiwa wanamhitaji na asichukue majukumu ya sehemu nyingine. 
Tangu wakati huo United wanaripotiwa kumpa mkataba wa miaka 3 wenye thamani ya £60m ambao utamfanya mreno huyo kuwa kocha atakayelipwa zaidi katika historia. 
United pia walijaribu kuangalia upatikanaji wa  Maurico Pochettino wa Spurs na kocha  Paris Saint-Germain Blanc, wakati baadhi ya watu ndani ya klabu walijaribu kutaka Giggs apandishwe cheo. 
  Lakini Mourinho siku zote anawashinda wapinzani wake katika kazi hiyo mbele yenye wenye maamuzi Old Trafford na hilo limewekwa wazi kabisa na kumuondolea mashaka kabisa Mourinho wiki hii. 
United wanafahamu kwamba Mourinho hawezi kukosa ofa nzuri na hii ni nafasi yao ya mwisho kumpata. 

SOURCE;SHAFFIHDAUDA

Friday, April 29, 2016

LIVER YAPIGWA NA VILLARREAR 1,SEVILA YAPATA DRAW 2 -2

Tomas Pina (kushoto) wa Villarreal akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Philippe Coutinho wa Liverpool katika Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League usiku huu Uwanja wa El Madrigal, Villarreal nchini Hispania. Villarreal imeshinda 1-0, bao pekee la Adrian Lopez dakika ya 92

SAKHO AFUNGIWA TENA

April 23 2016 uongozi wa klabu ya Liverpool ulitangaza kumsimamisha beki wa kati wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu hiyo Mamadou Sakho kutokana na kugundulika kutumia dawa za kusisimua misuli michezo, dawa ambazo ni kinyume na taratibu.
Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) leo limetangaza uamuzi au adhabu ya kumsimamisha Mamodou Sakho kwa siku 30, uamuzi ambao ni wa muda ili kuipa nafasi kamati ya maadili ya UEFA hadi itakapokaa na kutangaza adhabu rasmi.
Sakho ambaye alikuwa anachunguzwa na UEFA toka March 17 baada ya mchezo waEuropa league kati ya Man United dhidi ya Liverpool Old Trafford, amegundulika kutumia ‘Fat Burner’ kwa ajili ya kusisimua misuli, Mamadou Sakho atakumbana na adhabu kutoka UEFA baada ya kamati ya maadili kukaa na kuamua adhabu.


SOURCE;MILLARD AYO

MAMBO BADO KWA RONALDO

Jina la mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo limerudi tena kwenye headlines leo Alhamisi ya April 28 2016. Ronaldo amerudi kwenye headlines baada ya Real Madrid kudaiwa kutoa ripoti ya maendeleo ya majeruhi yake.
Ronaldo ambaye amekosa mechi mbili za Real Madrid huenda akakosa michezo mingine ikiwemo mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Man City utakaochezwa Santiago BernabeuRonaldo anadaiwa kupimwa na MRI Scan na kukutwa ana tatizo la msuli (muscle tear).

Thursday, April 28, 2016

DIEGO SIMEONE KAFUNGIWA MECHI ZOTE KUWA JUKWAANI


KOCHA Mkuu wa Atletico Madrid, Diego Simeone(pichani kulia)amefungiwa kukaa kwenye benchi kwa mechi zote tatu zilizobaki za timu yake katika Ligi Kuu ya Hispania, La Liga kumalizia msimu.
Muargentina huyo mwenye umri wa miaka 45 amepewa adhabu hiyo baada ya mpira kurushwa uwanjani katika mchezo wa Jumamosi, timu yake ikishinda 1-0 dhidi ya Malaga.
Picha za Televisheni zinaonyesha kwamba mpira huo ulipokuwa nje katika himaya ya kijana muokota mpira, ukarushwa uwanjani kutoka eneo la benchi la Atletico Madrid na kuvuruga shambulizi la Malaga. 
Na kwa kuwa mpira uliporushwa kutoka eneo la benchi la ufundi la Atletico - sheria zinambana kocha kwamba ndiye wa kuwajibishwa na Simeone amedhibiwa. 
Kocha huyo wa Atletico alipandishwa jukwaani na refa Antonio Mateu Lahoz baada ya ripoti kusema hakumtaja aliyerusha mpira uwanjani.
Madrid inalingana kwa pointi Barcelona kileleni mwa msimamo wa La Liga, wakati Real Madrid inazidiwa pointi moja katika nafasi ya tatu.
Simeone sasa hatakaa benchi katika mechi dhidi ya Rayo Vallecano, Levante na Celta Vigo.

MAAJABU YA WAKALI WANAO VAA NO 7

Nomber 7
Suala la wachezaji kuvaa jezi namba flani mgongoni mara nyingi huwa linaongozwa na imani, hii hapa ni list ya wachezaji saba ambao wamewahi kufanya mambo makubwa kwenye soka wakiwa wamevaa jezi namba 7 mgongoni.
7. Robert Pires
Pirez
Robert Pires alidumu kwenye kikosi cha Arsenal kwa miaka 6 pekee lakini ilitosha heshima kwenye klabu hiyo na kuwa miongoni mwa wachezaji wa kukumbukwa kwenye historia ya Arenal.
Baada ya mafanikio makubwa kwenye michuano ya kombe la dunia na Euro mwaka 1998 na 2000 akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa, Pires alijiunga na The Gunners na kukiongoza kikosi hicho kutwaa kombe makombe matatu ya FA na mataji mawili ya Premier League.
Kutokana na mchango wake kwenye kikosi cha Arsenal katika miaka 6 aliyoitumikia, alichaguliwa na mashabiki kama mchezaji wa sita mwenye mchango mkubwa kwenye timu.
6. Luis Figo
Figo
Nahodha wa aina yake kuwahi kutokea kwenye timu ya taifa ya Ureno ambaye alikuwa akivaa jezi namba 7 na kupata mafanikio makubwa. Winga mwenye uwezo wa juu kipindi cha uchezaji wake, anasifika kwa uwezo wake mkubwa wa kukimbia na mpira huku akiwaacha mabeki huku akiwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake kufunga.
Nyota huyo wa Ureno atakumbukwa wakati anakitumikia kikosi cha Inetr Milan na Real Madrid licha ya kushindwa kutwaa taji lolote akiwa na timu yake ya taifa lakini anabakia kuwa miongoni wachezaji bora kuwahi kutokea Ureno.
5. George Best
Best
George Best ni nyota mwingine wa Manchester United, alithibitisha jina lake kwa uwezo wake uwanjani katika miaka yote aliyocheza soka.
Mu-Ireland huyo alikuwa na uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo wa kati na winger, alikuwa kwenye kiwango bora kati ya 1966-72 ambapo aliiongoza United kutwaa mataji ndani na nje ya England huku akifanikiwa kushinda tuzo binafsi.
4. Kenny Danglish
Dalgrish
Kenny Danglish alikuwa ni miongoni mwa wachezaji muhimu ndani ya Liverpool kwenye miaka ya 1970 na 80 na anatambuliwa kama miongoni ya wachezaji bora kuwahi kuitumikia Liverpool.
Alichukua namba 7 ambayo ilikuwa inavaliwa na mkongwe mwingi wa Liverpool Kevin Keegan, lakini alifanikiwa kupata mafanikio kuliko alyemtangulia kuvaa jezi hiyo.
3. Eric Cantona
Cantona
Akiwa anatambulika kwa a.k.a ya ‘Premier League bad boy’, Eric Cantona ni miongoni mwa majina yenye heshima kuwahi kuvaa jezi namba 7 ya United.
Licha ya kuchukiwa na baadhi ya mashabiki, Cantona alifanikiwa kuwateka mashabiki wengi wa United kutokana na kiwa alichokuwa anakionesha uwanjani. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alidumu United kwa miaka 5 lakini aliweza kufunga magoli 80 na kushinda mataji kibao ikiwemo ya mataji matatu (treble) ya mwaka 1999.
2. Garrincha
Garrincha
Garrincha ni jina maarufu kwenye soka la Brazil, anasimama kama mchezaji bora kuwahi kutokea amabaye alikuwa akivaa jezi namba 7. Akiwa amekiongoza kikosi cha Seleccao kutwaa kombe la dunia mwaka 1972 bila ya Pele. Garrincha alikuwa pia nyota wa klabu ya Botafogo.
Legend huyo wa Brazil alichaguliwa kwenye timu ya karne ya 20 na timu ya FIFA ya muda wote ya kombe la dunia.
1. Cristiano Ronaldo
FC Bayern Muenchen v Real Madrid - UEFA Champions League Semi Final
Star wa Real Madrid anafunga list hii ya wachezaji waliowahi kupata mafanikio wakiwa ndani ya jezi namba 7 huku akiwa bado na muda wa kuendelea kufanya makubwa zaidi.
Akianza kupata mafanikio kwenye klabu ya Manchester United, mreno huyo mwenye kipaji cha aina yake alihamia Hispania mwaka 2009 na ameendelea rekodi ya kufunga magoli ambayo itawachukua muda mrefu ma-striker kuivunja.
Lakini Ronaldo bado hajashinda taji lolote akiwa mchezaji wa timu ya taifa ya Ureno, mambo yote hayo makubwa ambayo Ronaldo ameyafanya kwenye soka akiwa amevaa jezi namba 7.

SOURCES;SHAFFIH DAUDA

ATLETICO WAICHAPA BAYERM MUNICH



MATCH FACTS

Atletico Madrid (4-4-2):

 Oblak 7; Juanfran 7, Gimenez 7, Savic 7, Luis 6.5; Saul 8 (Teye 85mins), 

Gabi 7.5, Fernandez 7, Koke 6.5; Griezmann 6.5, Torres 7.

Unused subs: Correa, Gamez, Hernandez, Kranevitter, Moya, Vietto.

Booked: Saul.

Goal: Saul 11.

Manager: Diego Simeone 8.

Bayern Munich (4-1-4-1):

 Neuer 6; Lahm 6, Martinez 6, Alaba 5.5, Bernat 5.5 (Benatia 77); Alonso 6; 

Costa 6.5, Alcantara 5 (Muller 70, 6), Vidal 6.5, Coman 6 (Ribery 64, 6); Lewandowski 6.

Unused subs: Gotze, Kimmich, Tasci, Ulreich.

Booked: Costa, Benatia, Neuer.

Manager: Pep Guardiola 6.

Referee: Mark Clattenburg 7.

Saul was joined by his jubilant Atletico team-mates after his goal set up a 1-0 first leg advantage for the Spanish side

Vidal gets to the ball ahead of Gabi in the midfield battle as Bayern battled to wrestle back Atletico's early advantage in the game
Lewandowski and Vidal found opportunities scarce at the Vicente Calderon before Muller was brought on to join the attack

Tuesday, April 26, 2016

WENGER ANGALIA HII

MASHABIKI WA ARSENAL WAKISISITIZA KWAMBA WAKATI WA WENGER KUONDOKA NDIYO HUU

GOOD KISS IN PITCH [ONUOHA VS RAKELS]



Beki Nedum Onuoha wa QPR (kushoto) akipambana na Deniss Rakels wa Reading katika mechi ya Ligi Daraja la Kwanza England kwenye Uwanja wa Loftus Road, juzi. Mechi hiyo iliisha kwa sare ya mabao 1-1. Hapa kila mmoja alikuwa akiwania mpira, akajikuta amempa mwenzake “busu”.

sources;salehjembe

VARDY KUWAKOSA MAN U KWA KUONGEZEWA ADHABU


Mshambuliaji Jamie Vardy atakosa mechi moja zaidi ya Leicester City.

Mechi inayofuata ni dhidi ya Manchester United, adhabu ambayo anaipata baada ya kumfokea mwamuzi aliyemlamba kadi.

Kamati ya Sheria ya FA, yenye watu watatu imepitsha hilo.


Hii itakuwa ni mechi ya pili Leicester inacheza bila ya Vardy. Mechi iliyopita iliitwanga Swansea kwa mabao 4-0 mchezaji huyo akiwa jukwaani na mpenzi wake.

MANENO YA BLUE DHIDI YA SUGU BAADA YA KUCHUKULIWA NYIMBO YAKE NA SUGU




  • mrbluebyser1988Ndugu zangu nipeni ushauri kwa hili niliona nikae kimya ila limeniuma sana kwa kweli ..!! SUGU namuheshimu km kaka yangu kimuziki na kiumri pia ..sasa kuna nyimbo nilimshirikisha inaitwa "Freedom" tulifanya pale kwa makochali na hiyo ndo picha ya ushahidi na nyimbo ipo youtube kwa wasioisikia..sasa kinachonishangaza leo kuona ameitoa verse yangu na kuweka verse zake mbili na kaishoot mpaka video na nyimbo imekuwa yake tena bila kunitaarifu mimi mwenyewe au ridhaa yoyote kutoka kwangu je hii ni haki kweli??? Maana mtu ukiongea unaonekana unatafuta kiki au sijui nn...mi imeniuma kwa kweli jamani je mnanishauri nini ndugu zangu....????

maneno hayo ameandika kwenye page yake ya instagram ya blue

JUVENTUS BINGWA MARA YA TANO MFULULIZO

Juve-bingwa
Juventus imeshinda taji la Serie A kwa mara ya tano mfululizo!
Ushindi wa bao 1-0 ilioupata Roma dhidi ya Napoli leo umeipa ubingwa wa Scudetto timu ya Juventus.
Juventus ilanza vibaya msimu wa 2015-26 baada ya msimu uliopita kunyakua mataji mawili na kufika hatua ya fainali ya Champions League na kupoteza mbele ya Barcelona.
Wakiwa bila ya nyota wao Andrea Pirlo na Carlos Tevez haikuwa rahisi kwao kufanya vizuri na hilo lilithibitika mwanzoni mwa msimu kabla ya kukaa sawa.
Kikosi hicho kilicho chini ya Massimo Allegri kilizinduka na kuanza kuikimbiza Napoli iliyokuwa kwenye kiwango bora mwanzoni mwa msimu, Juve waliipiga bao Napoli wiki chache zilizopita na kufanikiwa kutetea ubingwa wao.

SPURS WA DRAW SASA LEICESTER BADO POINT 3 KUWA MABINGWA WA EPL

Mchezaji mpya bora chipukizi wa Mwaka wa Ligi Kuu ya England, Dele Alli wa Tottenham Hotspur akipasua katikati ya wachezaji wa West Bromwich Albion katika mchezo wa ligi hiyo usiku wa Jumatatu Uwanja wa White Hart Lane, London. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, Craig Dawson akianza kujifunga dakika ya 33 yeye mwenyewe kuisawazishia West Brom dakika ya 73

Monday, April 25, 2016

LEICESTER BADO POINT 4 KUWA MABINGWA.ARSENAL YABANWA KOO

Mshambuliaji wa Leicester City, Leonardo Ulloa (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Shinji Okazaki (katikati) baada ya kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Ulloa alifunga mabao mawili, wakati mengine yaamefungwa na Riyad Mahrez na Marc Albrighton


WAkat huo huo Arsenal wametoa draw 0 -0 na sundeland mchezo uliopigwa leo

MABILIONEA 10 WA KINGEREZA KATIK MICHEZO

3370B9F900000578-3554645-image-m-20_1461362636864
Rooney ambaye ni mchezaji wa timu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, ndiye mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kwenye ligi ya uingereza akipokea paundi 300,000 kwa wiki.
Rooney ameingia kwenye list hiyo baada ya kuwa na utajiri wa paundi milioni 82 na kuwazidi wanamichezo wengine wan chi hiyo Andy Murry mwenye utajiri wa paundi milioni 58 na Rory McIlroy mwenye utajiri wa paundi milioni 56.
Rooney amefanikiwa kuongeza paundi million kumi kwa mwaka huu kwenye utajiri wake kutokana na kuwa balozi wa Nike na Samsung.
Hii ni list ya top ten ya wanamichezo matajiri wa Uingereza:
1 Wayne Rooney Football, Manchester United £82m
2 Andy Murray Tennis £58m
3 Rory McIlroy Golf £56m
4 Gareth Bale Football, Real Madrid £34m
5 Sergio Aguero Football, Manchester City £33m
6 David Silva Football, Manchester City £31m
7= Cesc Fabregas Football, Chelsea £29m
7= Radamel Falcao Football, Chelsea £29m
9 Samir Nasri Football, Manchester City £22m
10= Eden Hazard Football, Chelsea £18m
10= Amir Khan Boxing £18m

MAHREZ AWA MCHEZAJI BORA EPL

Usiku wa April 24 imetangazwa good news  kwa soka la Afrika, huu sio ushindi wa taifa la mchezaji husika ila  ni fahari ya Afrika nzima, winga mshambuliaji wa kimataifa wa Algeriaanayeichezea klabu ya Leicester City ya Uingereza Riyad Mahrez ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA 2015/2016 (Professional Footballers Association).
Riyad Mahrez ametangazwa kushinda tuzo hiyo mbele ya wachezaji kama Mesut Ozilwa ArsenalJamie Vardy wa Leicester CityHarry Kane wa SpursN’golo Kante waLeicester CityDimitri Payet wa West Ham United, PFA ni tuzo za wachezaji bora wa kulipwa.

Friday, April 22, 2016

SIKIA MANENO YA FABREGAS


“Kuna wakati baada ya mechi dhidi ya Bournemouth nilikuwa nimelala kitandani, nilikuwa na masikitiko sana na kilichokuwa kikiendelea klabuni, nikamwambia mke wangu kuwa nimesahau hata jinsi ya kucheza mpira,” alisema Fabregas alipokuwa akizungumzia suala hilo kisha akaendelea:

"Sikuwa mimi, nilikuwa niponipo tu, ilifikia hatua ninampira lakini sijui niufanyie nini na sijui nimpasie nani.

"Hiyo miezi miwili au mitatu nilipoteza kabisa hali ya kujiamini.”


  Baada ya kuondoka kwa Mourinho kutokana na matokeo mabaya, angalau Chelsea ilianza kupata nafuu ya kupata matokeo ikiwa chini ya kocha wa muda Guus Hiddink tangu Desemba, mwaka jana.

"Nashukuru Mungu kila kitu kilienda vizuri na kubadilika na nikawa nacheza vizuri."

Licha ya matokeo mazuri kiasi bado mwendo wa timu hiyo haikuwa bora kama ilivyokuwa msimu uliopita ambapo mpaka sasa inashika nafasi ya 10 katika msimamo wa Premier League.

SANCHEZ AIPAISHA ARSENAL

Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia na beki wa kushoto, Nacho Monreal baada ya kuifungia timu yake mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates

Thursday, April 21, 2016

PFA TEAM OF THE YEAR ,OZIL AYUPO

Kikosi hicho ambacho kimetajwa na Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) hakijataja jina la Ozil kama wengi alivyokuwa wakimtegemea huku chipukizi wengine wakitajwa kuwa ndiyo wanaounda kikosi hicho.

Baadhi ya chipukizi waliotajwa katika safu ya kiungo ya kikosi hico ni Dimitri Payet, N'Golo Kante, Dele Alli na Riyad Mahrez.