Monday, April 18, 2016

HAYA NDO MAGOLI 500 YA MESSI

Lionel Messi jana usiku alitimiza magoli 500 tangu alipoanza kucheza soka la ushindani, wakati Barcelona ilipofungwa 2-1 nyumbani na Valencia. 
  Hii ni rekodi mpya kwa Messi na imekuja baada ya miaka 11, baada ya goli lake la kwanza akiwa na miaka 17 alilofunga dhidi ya Albacente mnamo May 2005. 
Sasa tuangalie uchambuzi wa kinamba wa namna Muargentina huyu alivyofikisha idadi hii ya magoli kwa klabu na nchi yake. 
 Messi huanza mechi taratibu 
Messi ni aina ya wqchezaji ambao huanza mechi taratibu, takwimu zinaonyesha ni magoli 50 tu kati ya 500 ambayo alifunga katika dakika 15 za kwanza za mechi – lakini amekuwa mwiba kwa timu pinzani kwa dakika nyingine 75 zinazofuatia. Huadhibu sana timu pinzani pale zinapoanza kuchoka.
 Ni mguu mmoja tu wa Messi ambao ni hatari 
Unataka kumzuia Messi asifunge? Mzuie asipige na mguu wake wa kushoto, unaweza kufanikiwa kwa asilimia 81%, kwa sababu asilimia 81 ya magoli yote aliyofunga amefunga na mguu wa kushoto – magoli 406, wakati mguu wa kulia magoli 71, na kichwa magoli 21. Mipira ya adhabu ndogo – magoli 25 na penati 64. 
 Kwenye misimu 8 iliyopita amefunga wastani wa magoli 40 kwa msimu. 
Messi msimu huu mpaka sasa amefikisha magoli 42.  
Timu alizozifunga  
Atletico Madrid na Sevilla wana sababu za kumuogopa Messi zaidi – amezifunga magoli 25 kila timu. Magoli manne zaidi ya aliyoyafunga dhidi ya Real Madrid. 
 Mashindano aliyofunga magoli 
Magoli mengi zaidi amefunga katika La Liga. Wakati kwenye World Cup amefunga matano tu. 
 Amezidiwa na Cristiano Ronaldo 
Messi pamoja na mpinzani wake Ronaldo wamefunga jumla ya magoli 1,039. 
 Anahitaji kumpa zawadi Dani Alves 
Barcelona right-back Dani Alves ndio anaongoza kumpa Messi pasi za mwisho kabla ya kufunga, wamecheza pamoja kwa miaka 10. 
  
Messi alifanikiwa kuwa mchezaji pekee aliyefunga magoli matano katika mchezo mmoja wa Champions League wakati Barca ilipoifunga Bayer Leverkusen 7-1 mwaka 2012.

ARSENAL YATOA SARE EMIRATES,LEICESTER CITY CHUPUCHUPU,LIVERPOOL WATAMBA

Sanchez celebrates with Danny Welbeck (left), who provided the assist for his goal, as well as the rest of his Arsenal team-mates
mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates,kati ya arsenal na cryster palace. Timu hizo zimetoka sare ya kufungana 1-1, bao la Arsenal likifungwa na Alexis Sanchez dakika ya 45 kabla ya Yannick Bolasie kuwasawazishia wageni dakika ya 81
Palace manager Pardew is all smiles as he congratulates Bolasie on the goal which takes his side nine points above the drop zone
Leonardo Ulloa wa Leicester City akishangilia bao lake la dakika 95 kwa penalti katika sare ya 2-2 na West Ham United jioni ya leo Uwanja wa King Power. Bao lingine la Leicester limefungwa na Jamie Vardy, wakati ya West Ham yamefungwa na Andy Carroll na Aaron Cresswel.
Mshambuliaji Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 41 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Daniel Sturridge wakati la Bournemouth limefungwa na Joshua King

BARCELONA WAFUNGWA TENA NOU CAMP NA VALENCIA,MSN CHALIIII

Siqueira's cross was turned into his own net by Rakitic as Barcelona fell behind for the fourth game in a row at the Nou Camp
Wakali watatu wa Barcelona, Luis Suarez, Neymar Junior na Lionel Messi walijikuta  wakijishangaa baada ya kufungwa 2-1 na Valencia usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa La Liga Uwanja Camp Nou, huo ukiwa mchezo wa tatu mfululizo wanafungwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka 13. Mabao ya Valencia yalifungwa na Ivan Rakitic aliyejifunga wakati akijaribu kuokoa krosi ya Guilherme Siquiera dakika ya 26 na Santi Mina dakika ya 45, wakati la Bara lilifungwa na Messi dakika ya 63


Barcelona (4-3-3): Bravo, Roberto, Pique, Mascherano, Alba, Rakitic, Busquets, Iniesta (c), Messi, Suarez, Neymar.Subs not used: ter Stegen, Douglas, Dani Alves, Bartra, Munir, Adriano, VidalBooked: Suarez, Pique, NeymarValencia (4-5-1): Diego Alves, Barragan, Mustafi, Abdennour, Siqueira, Rodrigo (Gaya 87), Parejo, Javi Fuego (c), Perez (Cancelo 74), Gomes, Mina (Alcacer 59). Subs not used: Santos, Negredo, Danilo, RyanGoals: Rakitic own goal 26, Santi Mina 45Booked: Barragan, Parejo, Gomes



It was the fourth consecutive game that Barcelona fell behind, with the side only coming back to win on one of those occasions
Neymar was subdued in the first-half as Valencia stood strong in the face of 13 shots on goal from the hosts in the opening 45 minutes
Mina is mobbed by his team-mates after keeping his composure to flash his shot across Bravo and into the bottom corner after 45 minutes
Luis Enrique wore a concerned expression in the first-half as his side showed signs of losing further daylight in the La Liga title race

Barcelona trio Suarez, Neymar and Messi again struggled to show signs of the class that punctuated their season until only recently