Sunday, May 15, 2016

RONALDOOO ARE MAKE NEW RCORD IN LA LIGA

Mshambuliaji wa Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi. Kwa mabao hayo, Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kihistoria kufunga mabao zaidi ya 50 kwa misimu sita mfululizo

5 STARS ARE FAILED IN EPL 2015/2016

Memphis-Depay
Kwa kawaida kila ifikapo mwisho wa msimu, kila klabu inafanya tathmini kwa wachezaji wao. Baadhi ya timu kama kama vile Liverpool na Manchester United, zimeshaandaa sherehe kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji wao bora wa msimu huu kwenye kila idara.
Lakini hata hivyo hakuna zawadi yoyote iliyopangwa kutolewa kwa ajili ya wachezaji waliocheza kwenye viwango vibovu kabisa.
Baada ya hali hiyo, hapa tumeangazia wachezaji watano ambao wamecheza katika viwango vya ovyo kabisa msimu huu:
  1. Theo Walcott – Arsenal
Si muda mrefu sana, Theo Walcott alisadikika kuwa moja ya wachezaji ambao ni hazina kubwa ya Arsenal katika siku za usoni, lakini kiwango chake msimu huu kimeonyesha kuwa na shaka kama kweli ni hazina ya klabu.
Msimu huu ulikuwa ni fursa nzuri sana kwake kung’ara kutokana na washambuliaji tegemeo wa klabu hiyo Olivier Giroud na Danny Welbeck kutokuwa kwenye kiwango bora. lakini kitu kibaya kwake ameshindwa kabisa kutengeneza nafasi ya kuaminiwa kama mshambuliaji wa kutegemewa.
4. Eden Hazard
Akiwa kama mchezaji ambaye alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu England msimu uliopita, Hazard alitarajiwa kuiongoza Chelsea kuwania ubingwa kwa mara nyingine tena msimu huu, lakini cha ajabu amefeli kufanya hivyo. Ukiwa umebaki mchezo mmoja tu kabla ya kumaliza msimu, Hazard amefunga magoli manne tu na kutoa pasi nne za magoli katika msimu huu wa ligi.
  1. Christian Benteke
Akiwa amenunuliwa kwa ada ya paundi milioni 32.5, Benteke alikuwa na kazi moja tu ya kuhakikisha anafanya kama alivyofanya Suarez wakati akiwa Liverpool kabla ya kuhamia Barcelona.
Mshambulizi huyo wa Ubelgiji amefeli kabisa kuthibitisha ubora wa thamani yake , hata hivyo, wenzake ambao walinunuliwa kwa bei ya chini kuliko yeye kama Firmino na Origi wamekuwa wakichezeshwa kwenye nafasi yake. Si mtu mwenye furaha tena Liverpool.
  1. Wilfried Bony
Alikuwa ni mchezaji muhimu sana wakati akiwa Swansea hasa kwenye msimu wa 2014/15, na kumvutia kocha wa Manchester City anayemaliza muda wake Manuel Pellegrini na kuamua kumleta klabuni hapo kuchukua nafasi ya Edin Dzeko, ambaye alikuwa akielekea kunako klabu ya AS Roma.
Lakini kiwango cha Muivory Coast huyo kimekuwa si cha kuridhisha. Aguero, Silva, Sterling na Iheanacho kwa sasa wanacheza mbele yake katika michuano mbalimbali.
  1. Memphis Depay
Depay alisemwa kuwa ndiye ambaye angevaa viatu sahihi vya Cristiano Ronaldo lakini badala yake moja kwa moja alivyosajiliwa na United kutoka klabu ya PSV Eindhoven, alianza kushutumiwa kujishughulisha sana na kununua magari ya kifahari na kutoka na wasichana warembo kuliko kufanya kilichomleta.
Pengine hiyo ndiyo sababu ya yeye kutokufanya vizuri na kufuata nyayo za Cristiano Ronaldo, ambaye pia alikuwa akivaa jezi namba saba klabuni hapo.

They knifed me: Van Gaal blames Scholes and Co as his Man United job goes on the line in Premier League crunch day


Louis van Gaal will hold club legend Paul Scholes responsible if he gets the sack at Old Trafford this summer.The Manchester United manager is convinced sections of the supporters would not have turned against him without Scholes’ harsh attacks on television and radio that were then taken up by the wider media.Scholes, who won 11 Premier League titles and the Champions League under Sir Alex Ferguson, said as early as October that Van Gaal’s style of play would have left him ‘tearing his hair out’ in the first of several stinging attacks on the Dutchman.

Louis van Gaal is convinced supporters would not have turned on him without criticism from ex-players
Louis van Gaal is convinced supporters would not have turned on him without criticism from ex-players
BT Sport pundit Paul Scholes has been extremely critical this season calling United a 'shambles' and 'disaster'

BT Sport pundit Paul Scholes has been extremely critical this season calling United a 'shambles' and 'disaster'


In the following months, fans at Old Trafford booed Van Gaal, most notably after a 1-0 home defeat by Southampton in January when it appeared that he might be replaced by Jose Mourinho. At various times, Scholes has called United under LVG a ‘shambles’ and ‘disaster’.Van Gaal’s hopes of clinging on to his job will suffer a blow if United fail to overtake Manchester City and claim a Champions League spot in Sunday's final round of matches.United are in fifth spot, two points behind Manuel Pellegrini’s men and have to hope they beat Bournemouth at Old Trafford and City lose at Swansea. They face Crystal Palace in the FA Cup Final at Wembley on Saturday.Van Gaal is still bullish about his prospects of seeing out the final year of his contract next season, perhaps buoyed by division within United’s boardroom about who would take over.But David Moyes was sacked after United had failed to qualify for the Champions League.‘In spite of the attacks of the media – and not only the media, the legends and other kinds of people – I am here and I am fighting, I am an open book,’ he said.‘And I believe in myself, I believe in Manchester, I believe in the players. I hope that everybody is believing like me, then it is much more easier.



Merci Zlatan: PSG pay tribute to Ibrahimovic as he signs off from with double and lifts his 11th title in glittering career

Paris Saint-Germain 4-0 Nantes: Zlatan Ibrahimovic bows out in record-breaking style with
Zlatan Ibrahimovic set a record for league goals in a single season by a Paris Saint-Germain player, saying farewell on Saturday night with a brace in a comprehensive 4-0 win over Nantes in Ligue 1. Ibrahimovic leaves PSG after the French Cup final on May 21 before leading Sweden at Euro 2016.