Mshambuliaji wa Leicester City, Leonardo Ulloa (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Shinji Okazaki (katikati) baada ya kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Ulloa alifunga mabao mawili, wakati mengine yaamefungwa na Riyad Mahrez na Marc Albrighton
WAkat huo huo Arsenal wametoa draw 0 -0 na sundeland mchezo uliopigwa leo
Monday, April 25, 2016
MABILIONEA 10 WA KINGEREZA KATIK MICHEZO

Rooney ambaye ni mchezaji wa timu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, ndiye mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kwenye ligi ya uingereza akipokea paundi 300,000 kwa wiki.
Rooney ameingia kwenye list hiyo baada ya kuwa na utajiri wa paundi milioni 82 na kuwazidi wanamichezo wengine wan chi hiyo Andy Murry mwenye utajiri wa paundi milioni 58 na Rory McIlroy mwenye utajiri wa paundi milioni 56.
Rooney amefanikiwa kuongeza paundi million kumi kwa mwaka huu kwenye utajiri wake kutokana na kuwa balozi wa Nike na Samsung.
Hii ni list ya top ten ya wanamichezo matajiri wa Uingereza:
1 Wayne Rooney Football, Manchester United £82m
2 Andy Murray Tennis £58m
3 Rory McIlroy Golf £56m
4 Gareth Bale Football, Real Madrid £34m
5 Sergio Aguero Football, Manchester City £33m
6 David Silva Football, Manchester City £31m
7= Cesc Fabregas Football, Chelsea £29m
7= Radamel Falcao Football, Chelsea £29m
9 Samir Nasri Football, Manchester City £22m
10= Eden Hazard Football, Chelsea £18m
10= Amir Khan Boxing £18m
MAHREZ AWA MCHEZAJI BORA EPL

Usiku wa April 24 imetangazwa good news kwa soka la Afrika, huu sio ushindi wa taifa la mchezaji husika ila ni fahari ya Afrika nzima, winga mshambuliaji wa kimataifa wa Algeriaanayeichezea klabu ya Leicester City ya Uingereza Riyad Mahrez ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA 2015/2016 (Professional Footballers Association).
Riyad Mahrez ametangazwa kushinda tuzo hiyo mbele ya wachezaji kama Mesut Ozilwa Arsenal, Jamie Vardy wa Leicester City, Harry Kane wa Spurs, N’golo Kante waLeicester City, Dimitri Payet wa West Ham United, PFA ni tuzo za wachezaji bora wa kulipwa.

Subscribe to:
Posts (Atom)