Sunday, April 10, 2016

MAN CITY YASHINDA, ARSENAL YAKABWA KOO NA CHELSEA YAKUBALI KIZEMBE ....

timu ya man city imeshinda magoli 2 kw 1 dhid ya west bromich na kuipumulia arsenal iliyotoa draw jana dhidi ya west ham kwenye mechi iliyoishaa 3 3 na kufanya chelsea kufikisha points 57 na Arsenal 59 wakat huo huo chelsea wamefungwa 1 dhidi ya swansea city

BARCELON YAPIGWA TENA NA REAL...

TIMU YA BArcelona jana ilifungwa goli moja na real socied na kufanya kufungwa mechi ya pili mfululizo na kupoteza point 6 ndani ya mechi mbili


KJReal Sociedad players celebrate after Mikel Oyarzabal took the lead against Barcelona in the fifth minute
Real Sociedad's Chory Castro (right) races off after realising that his team-mate had just taken the lead
Lionel Messi puts his head in his hands after watching his side go behind to the 9th-placed team in La Liga

MOURINHO KASEMA HAYA TENA

Siku kadhaa zimepita toka mtandao wa bleachereport.com uandike habari za Jose Mourinho kuomba uongozi wa Man United waingie makubaliano ya maandishi ya kumthibitishia kuwa watampa mkataba wa kuwa kocha wa Man United mwishoni mwa msimu.
Kauli hiyo ya Mourinho ilitafsirika kama Jose Mourinho kaogopa baada ya kusikika tetesi kuwa kocha wa zamani wa Man United Sir Alex Ferguson anamuunga mkonoLouis van Gaal aendelee kuifundisha Man United msimu ujao tena. April 8 2016 kama utakuwa unafikiria Jose Mourinho kafuta kauli yake ya kurudi katika soka mwisho wa msimu unakosea.
“Nakuhakikishia kuwa mwisho wa msimu nitarudi kufundisha soka kama kawaida, ninazo ofa nyingi kutoka vilabu mbalimbli, kuhusu nitajiunga na klabu gani? tusubiri hadi mwisho wa msimu kwani ni suala la kufikiria na kujadili ofa zilizokuja ila mwishoni mwa msimu kila mmoja atajua najiunga klabu gani” >>> Jose Mourinho