Monday, March 14, 2016

ZIGO YAFIKISHA VIEWER MILION 4 ........




Nyimbo ya zigo remix ya AY na DIAMOND imefikisha viewer milioni 4 ndani ya siku 48 na ivyo kuweka rekodi ya kuwa nyimbo iliyofikisha viewer chache kwa siku chache kwa nyimbo za kitanzania.
 

ARSENAL AMFATA CHELSEA NA KUTEMESHWA KOMBE JUU.MAN U NA WEST HAM NGOMA BADO MBICHI FA.


 Mshambuliaji Giroud na ozil wakianza mpira katikati baada ya kufungwa goli la pili na watford katika mechi ya fa.

timu ya arsenal jana ilitolewa katika mashindano ya Emirates Fa kwa kufungwa magoli 2-1 na Watford katika uwanja wa emirates na kuivua ubingwa timu hiyo ya london.
wakati huo huo mahasimu wao na aseno walitoka sare ya 1-1 na west ham katika uwanja wa old traford n kufanya kusubili mechi ya pili itakayofanyika west hm.
 

PSG YAPIGA MTU 9 YATWAA NDOO YA LIGUE 1



Klabu ya Psg jana ilitangaza ubingwa wa ligi kuu ya ufaransa kwa kuichapa Troyes kwa mabao 9-0 na kuifanya Psg kutangazwa kuwa mabingwa kwa mwaka wa nne mfululizo.hivyo kubakiwa na mechi 8 mkononi lakina tayali ni mabingwa kwa kucheza michezo 25 na kushinda 24 na kufungwa mmoja dhidi ya lyon tu,

PSG-bingwa-2
PSG-bingwa
3227EA3300000578-0-image-a-87_1457910862508
IBRAHIMOVIC AKIONDOKA NA MPIRA WAKE JANA ALITUPIA 3

SAMATTA;MBONA WATAJUTA KUNIFAHAMU MAKIPA......




Samatta jana alizidi kujiweka katika nafasi nzuri ya kugombea namba katika kikosi cha Genk baada ya kupachika goli moja kwenye manne walioyofunga jana dhidi ya KV Oostede katika ligu kuu ya nchini Belgium.Samata ilikuwa nd mechi yake ya kwanza kuwa katika first eleven y timu hiyo tangu alipojiunga mwanzoni mwa mwezi wa kwanza.