Tuesday, March 08, 2016

MTN YAIPELEKA YANGA KILELENII......


club ya yanga leo imekwaa kileleni kwenye ligi kuu ya vodacom tanzania kwa kufikisha points 50 chini ya simba yenye 48 na azam yenye 47.Yanga leo ilishuka dimbani kupambana dhidi ya africans sports na kuichapa magoli 5-0.magoli ya yanga yaliwekwa kiminyani na tambwe aliyefunga magoli mawili na mengine ni Yondani, Msuva na Ngoma.ile kampa kampa tena kampa ngoma kampa tambwe.kampa  msuva goooo

MATA; IM SORRY MAN UNITED FANS........

 
Mchezaji wa man united Juan Mata amewaomba samahani mashabiki wote wa man united kwa kadi nyekundu aliyopewa katika mechi dhidi ya west bromich nakupelekea man united kufungwa mechi hiyo.Mata alitweet kwenye twitwer na kusema yapata mechi 500 cjawai kupewa kadi nyekundu na sasa ni mara ya kwanza nimepewa dhidi ya west bromich na kufungwa.Naombeni samahani sana mashabiki wa man united

KAMA UTANIPENDA YA DARASA YAMFIKISHA UKU.....


Msanii wa miondoko ya Hip hop wa nchini tanzania Darasa nyimbo yake imeaanza kupigwa katika vituo vya trace ya nchini Nigeria hiyo ni hatua nzuri kwa msanii kujipanua kimataifa kupigwa nyimbo yake na TraceUrban au Mtv.Director wa nyimbo hiyo Hanscana alipost picha katika mtandao wake wa instagraam ukionyesha kipande ch video na kutoa shouts kwa nguvu kwa trace na msanii huyo darasacmg.