Tuesday, March 08, 2016

KAMA UTANIPENDA YA DARASA YAMFIKISHA UKU.....


Msanii wa miondoko ya Hip hop wa nchini tanzania Darasa nyimbo yake imeaanza kupigwa katika vituo vya trace ya nchini Nigeria hiyo ni hatua nzuri kwa msanii kujipanua kimataifa kupigwa nyimbo yake na TraceUrban au Mtv.Director wa nyimbo hiyo Hanscana alipost picha katika mtandao wake wa instagraam ukionyesha kipande ch video na kutoa shouts kwa nguvu kwa trace na msanii huyo darasacmg.

No comments:

Post a Comment