Thursday, April 14, 2016

GUARDIOLA;SORRY RONALDO KWA KUKATISHA NDOTO YAKO..

Siku moja baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo kuweka wazi kuwa angependa Real Madridicheze na Benfica hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kauli hiyo aliitoa kabla ya mchezo wa marudiano wa Benfica na FC Bayern Munich kuchezwa.
Usiku wa April 13 2016 FC Bayern Munich ilicheza dhidi  Benfica ya Ureno na kufanikiwa kuiondoa katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya goli 3-2, hivyo ndoto ya Ronaldo ya kutamani Real Madrid icheze na Benfica ikawa imeishia hapo.
Baada ya FC Bayern Munich kufuzu hatua ya nusu fainali kwa kuitoa Benfica, kocha waFC Bayern Pep Guardiola amemuomba Cristiano Ronaldo msamaha kwa kuikatisha ndoto yake ya kutamani Real Madrid icheza na Benfica nusu fainali, Guardiola aliongea katika lugha ya utani baada ya kuitoa Benfica.
“Samahani kwa kuivunja ndoto ya Ronaldo najua alipenda kucheza dhidi ya Benfica hatua inayofuata lakini haikuwezekana” >>> Guardiola

soiurces millardayo

BARCA YAVULIWA UBINGWA NA ATLETICO NA BAYERN YASONGA KWA MBINDE

Usiku wa April 13 2016 ndio zilichezwa mechi mbili za mwisho za hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya, klabu ya FC Barcelona ilikuwa mgeni dhidi yaAtletico Madrid katika uwanja wa Vicente Calderon wakati FC Bayern Munichwalikuwa Ureno kucheza na Benfica.
FC Barcelona ambao ndio walikuwa mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya, wamevuliwa ubingwa kwa kufungwa jumla ya 2-0, hivyo kuondolewa mashindano kwa jumla ya goli 3-2, hiyo inatokana na matokeo ya mechi yao ya Nou Camp kuifungaAtletico goli 2-1.
3325D8C000000578-0-image-a-22_1460574676016
Magoli ya Atletico alifunga Antoine Griezmann dakika ya 36 na dakika ya 88 akapachika goli la pili kwa mkwaju wa penati na kufanya nyota wa FC Barcelona kama Lionel Messina wengine kutoamini kilichotokea. FC Bayern wao wamepita kwa aggregate ya 3-2, baada ya mchezo wa leo kumalizika kwa sare ya goli 2-2.

MAN U YATINGA SEMI FINAL FA CUP...




WEST HAM:
 Randolph, Antonio, Tomkins, Ogbonna, Cresswell, Kouyate, Noble, 

Valencia (Moses 62), Lanzini (Emenike 74), Payet, Carroll

Subs not used: Adrian, Obiang, Collins, Hendrie, Oxford

Goal: Tomkins 79

Booked: Carroll

MANCHESTER UNITED:
 De Gea, Fosu-Mensah, Smalling, Blind, Rojo (Valencia 68), Fellaini, 

Carrick, Lingard, Herrera (Schneiderlin 76), Martial, Rashford (Rooney 90)

Subs not used: Depay, Mata, Young, Romero.


Goals: Rashford 54, Fellaini 67 

Booked: Carrick, Rojo, Herrera