Sunday, March 06, 2016

KWA RONALDO HUYU MSN MTAJUTA..........

Cristiano ronaldo usiku wa jana alidhirihisha kuwa ye ni mkali wa kucheka na nyavu baada ya kushinda goli 4 kwenye ushindi wa goli 7 dhidi ya celta vigo kwenye uwanja wa santiago benarbeu magoli mengine yalifungwa na Pepe,Jesse na Bale.Ronaldo anakuwa topscorer wa la liga kwa kufikisha magoli 29 akimuacha mbali mpinzani wake Messi mwenye magoli 18.

LULU NA RICHIE RICHIE WANGARA TUZO ZA KIMATAIFA ..........,


kutoka kushoto ni Monalisa ,Richie na Lulu wakiwa katika picha ya pamoja wakati wanapita katika red carpet ya AMVC awards kabla awajapewa tuzo.



   
wasanii richie na lulu wakishukulu watu baada ya kutangazwa kuwa washindi katika tuzo za mtn award zilizofanyika jana nchini Nigeria.

SIMBA ILEEEEE KILELENII.......,,,,,,,

  



club ya simba leo inaweza kuongoza ligi endapo itashinda mechi yake inayochezwa leo na Mbeya city.mchezo utakaopigwa katika uwanja wa taifa.endapo simba ikishinda itakuwa mbele ya yanga na azam kwa tofauti ya point moja ikiwa na points 48 wakati Yanga na Azam watakuwa n 47 ila zikiwa na vipolo ya mechi moja.Simba itaendelea kumkosa mchezaji wake kiraka Abdi banda anayetumikia adhabu yake ya red card.