Sunday, March 06, 2016

SIMBA ILEEEEE KILELENII.......,,,,,,,

  



club ya simba leo inaweza kuongoza ligi endapo itashinda mechi yake inayochezwa leo na Mbeya city.mchezo utakaopigwa katika uwanja wa taifa.endapo simba ikishinda itakuwa mbele ya yanga na azam kwa tofauti ya point moja ikiwa na points 48 wakati Yanga na Azam watakuwa n 47 ila zikiwa na vipolo ya mechi moja.Simba itaendelea kumkosa mchezaji wake kiraka Abdi banda anayetumikia adhabu yake ya red card.

No comments:

Post a Comment