Cristiano ronaldo usiku wa jana alidhirihisha kuwa ye ni mkali wa kucheka na nyavu baada ya kushinda goli 4 kwenye ushindi wa goli 7 dhidi ya celta vigo kwenye uwanja wa santiago benarbeu magoli mengine yalifungwa na Pepe,Jesse na Bale.Ronaldo anakuwa topscorer wa la liga kwa kufikisha magoli 29 akimuacha mbali mpinzani wake Messi mwenye magoli 18.
No comments:
Post a Comment