kocha wa man united
kocha wa club ya man unied lvg amepeleka lawama zake kw mwamuzi wa mchezo wa jan Dean kwa kumtoa mata kwa kadi nyekumdu ambayo aikuwa ya haki.vile vile kocha huyo pia alimpelekea lawam kwa kiungo wake mshambuliaji antony martial kwa kucheza chini ya kiwango katika mechi ya jan baada ya kupiga shuti moja katika dakika 90.hivyo ndoto nyingi za mashabiki wa man united kuwa timu yao itafuzu kucheza uefa mwakani inafifia
No comments:
Post a Comment