Monday, March 07, 2016

DIAMOND AINGIA STUDIO KUMALIZIA NYIMBO YAKE NA .............

                                             
                                        Diamond platnumz ,Shedy clever na Neyo

msanii wa bongo flavour diamond au baba tiffah ameingia studio kumalizia nyimbo yake na neyo msanii huyo almepost picha akiwa katika studio nchini marekani aliko kwa ajili ya show.Diamond amepost picha akiwa na msanii mwingine wa mziki na mwigizaji wa tamthilia ya empire Hakeem.nyimbo hiyo mwanzon ilirekodiwa nchini nairobi chini ya producer shedy clever na sasa diamond ameend kumalizia vitu vidogo katika nyimbo hiyo ...

No comments:

Post a Comment