Monday, March 07, 2016

ALIKIBA AWASHAURI SERIKALI........



Msanii wa kizazi kipya alikiba a.k.a kingkiba ameomba serikali ya tanzania inabidi iwashikilie vizuri wasanii wake na wawaez kufaidika na kazi zao wanazofanya za sanaaa.Alikiba alisema maneno hayo baada ya juzi usiku wasanii wawaili wa bongo movie kupata tuzo nchini nigeria ambao ni lulu na richie.
''endapo serikali ikituwezesha vizuri wasanii kwa kutuwekea mising bora ya kulinda kazi zetu za sanaa basi wasanii tutaitangaza vyema nchi yetu ya tanzania''.msanii huyo mkali wa vibao vya lupela, mwana na cinderela alitumbuiza katika tuzo na kukonga nyoyo za wageni wengi waliokuwepo usiku huo

No comments:

Post a Comment