Thursday, April 07, 2016

BONDIA BLACKWELL AZINDUKA BAADA YA SIKU KADHAA.....




Bondia Nick Blackwell amezinduka baada ya kuwa hajitambui kwa kipindi cha zaidi ya siku tatu baada ya kuanguka ulingoni.


Blackwell alianguka katika pambano lake la uzito wa middleweight dhidi ya Chris Eubank Jr ambalo alipoteza.



SOURCES; MILLARD AYO

WOLFSBURG YAWASHANGAZA REAL MADRID UJERUMANI...

Timu ya wolfsburg imewashanga timu ya real madrid kwa kuwafunga goli 2-0 nchin ujerumani nakupelea mechi kuwa ngumu kwa real madrid kwa mechi ya marudiano inatakiwa washinde goli 3 kwa 0 ili wafuzu.jana Ronaldo alikabwa san na mabeki wa wolfsburg awakumuachia nafasi






 






MAN CITY YAWADINDIA PSG KWAO......

Goli ya ibrahimovic na rabiot ayakuweza kutoka na ushindi kwa timu ya Psg nakupelekea draw baada ya man city kuchomoa goli hilo kupitia kwa kevin de bruyne na fernando.wakati huo kipa joe hart alikuwa shujaa wa mchezo baada ya kuokoa mchomo wa penati wa ibrahimovic.










MANENO YA NAY KWA DIAMOND PLATNUM BAAADA YA KUTOBOA PUA.......


mmmm
Post ya Diamond
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Nay wa Mitego aliwahi kumkosoa Chid Benz katika wimbo wake wa Nasema nao kuhusu uamuzi wa kutoboa pua, ila picha ya Diamond Platnumz aliipost katika account yake ya instagram na kuandika naytrueboy Baba Tiffah you look mmmwaaah😍😍@diamondplatnumzumenogaaaaa mwananguuuuuuuuuu..!! Hukoseagi yaniiii😎😎.! Mapovuuuuuuuuu sasaaaaa😂😂😂

nai
post ya nay wa mitego