Monday, March 07, 2016

MKUU WA WILAYA KUANZISHA MTAA WA BAA WILAYAN KWAKE.....

                                           
                                               MH. Paul makonda mkuu wa wilaya ya kinondoni

mkuu wa wilaya ya kinondoni mh paul makonda ametangaza mpango wa kutaka kuanzisha mtaa wenye baa tu katika wilaya ya kinondoni akisema mpango huo leo hii.Mpango huo amesema ni muendelezo wa ubunifu wa kupata mapato katika wilaya yake.hivyo utasaidia kupunguza baa kila kona katika maeneo hayo.na kupunguza baa kuwa nyingi katik wilaya hiyo unakuta baa nyuma ya msikiti au nyumba ya kanisa.

No comments:

Post a Comment