Tuesday, March 08, 2016

MTN YAIPELEKA YANGA KILELENII......


club ya yanga leo imekwaa kileleni kwenye ligi kuu ya vodacom tanzania kwa kufikisha points 50 chini ya simba yenye 48 na azam yenye 47.Yanga leo ilishuka dimbani kupambana dhidi ya africans sports na kuichapa magoli 5-0.magoli ya yanga yaliwekwa kiminyani na tambwe aliyefunga magoli mawili na mengine ni Yondani, Msuva na Ngoma.ile kampa kampa tena kampa ngoma kampa tambwe.kampa  msuva goooo

No comments:

Post a Comment