Friday, March 11, 2016

PAUL SCHOLES ;MAN U HAIKUWA NA MIPANGO YOYOTE.....


kiungo mkongwe wa mashetani wekundu amesema timu yao hiyo ilikosa mipango yote yakuweza kushinda jana katika mechi ya europa na kupelekea kufungwa magoli 2 -0 na wahasimu wao liverpool kwa magoli ya daniel sturridge na firminho.Man united walikosa ubunifu wowote wakupenya ngome ya liverpool.tusubili mechi ijayo tuone itakuwaje y marudio ambayo man united inatakiwa kuifunga 3 ili isonge katika mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment