
Wakali watatu wa Barcelona, Luis Suarez, Neymar Junior na Lionel Messi walijikuta wakijishangaa baada ya kufungwa 2-1 na Valencia usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa La Liga Uwanja Camp Nou, huo ukiwa mchezo wa tatu mfululizo wanafungwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka 13. Mabao ya Valencia yalifungwa na Ivan Rakitic aliyejifunga wakati akijaribu kuokoa krosi ya Guilherme Siquiera dakika ya 26 na Santi Mina dakika ya 45, wakati la Bara lilifungwa na Messi dakika ya 63
Barcelona (4-3-3): Bravo, Roberto, Pique, Mascherano, Alba, Rakitic, Busquets, Iniesta (c), Messi, Suarez, Neymar.Subs not used: ter Stegen, Douglas, Dani Alves, Bartra, Munir, Adriano, VidalBooked: Suarez, Pique, NeymarValencia (4-5-1): Diego Alves, Barragan, Mustafi, Abdennour, Siqueira, Rodrigo (Gaya 87), Parejo, Javi Fuego (c), Perez (Cancelo 74), Gomes, Mina (Alcacer 59). Subs not used: Santos, Negredo, Danilo, RyanGoals: Rakitic own goal 26, Santi Mina 45Booked: Barragan, Parejo, Gomes






No comments:
Post a Comment