SPURS WA DRAW SASA LEICESTER BADO POINT 3 KUWA MABINGWA WA EPL
Mchezaji mpya bora chipukizi wa Mwaka wa Ligi Kuu ya England, Dele Alli wa Tottenham Hotspur akipasua katikati ya wachezaji wa West Bromwich Albion katika mchezo wa ligi hiyo usiku wa Jumatatu Uwanja wa White Hart Lane, London. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, Craig Dawson akianza kujifunga dakika ya 33 yeye mwenyewe kuisawazishia West Brom dakika ya 73
No comments:
Post a Comment