Saturday, April 30, 2016

MANENO YA MUME WA TIWA SAVAGE AKIMSHTUMU MKEWE

Tunji Balogun, mume na meneja wa zamani wa msanii wa Nigeria, Tiwa Savage, anamtuhumu kuwa na uhusiano na Don Jazzy.
Kwenye mfululuzo wa post alizoziweka kwenye Instagram jana, Tee Billz kama anavyojulikana pia anamtuhumu mkewe kuwa amewahi kulala na Dr Sid na Tuface Idibia.
“Please just take care of JamJam. I sacrificed my life for you and put in work and my money to your success. You are Tiwa Savage the superstar now. You will never have peace with that fame,” aliandika.
Aliweka picha yenye maneno “It’s time to say goodbye” na kuwaomba msamaha wanae.
“I’m sorry Olabisi, Gaetano, Onah and Jamil. All daddy wanted to do is be a good father and take care of all of you but they won’t let me. @tiwasavage ask your mother to confess what she’s done to me,” aliandika.
“Within what period of time did you f*** Jazzy and Dr Sid. And I didn’t care because of the love I have for you. I looked at it that we all have a past even when at the same f**king time you were f***ing with 2face,” aliongeza.
Angalia zaidi post hizo chini ambazo ameshazifuta tayari.

IMG_20160428_171435_431

IMG_20160428_171525_251

IMG_20160428_171552_067


IMG_20160428_171611_359

SOurce bongo5

No comments:

Post a Comment