Friday, June 03, 2016

MAMBO YA UCHAGUZI WA YOUNG AFRICANS [YANGA],MANJI AVIMBA AWAFUTA WATU UANACHAMA AKIWEMO ARON NYANDA


Vibweka vya uchaguzi ndani ya klabu ya Yanga vimeanza. Mashabiki kambi ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji walijitokeza makao makuu ya klabu hiyo jijini Dar es Salaam wakiwa na mabango yanayoonyesha imani kwake.


Wengine walikochora kwa rangi mwilini, ili mradi kuonyesha wanamuunga mkono kwenye uchaguzi ujao wa Juni 11.


picha kutoka;salehjembe

No comments:

Post a Comment