Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney (kulia), akiwania mpira dhidi ya Lee Chung-yong wa Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Old Trafford. United imeshinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Damien Delaney aliyejifunga dakika ya nne na Matteo Darmian dak55.
Mshambuliaji wa Liverpool, Divock Origi (kulia) akiwa juu kuwania mpira dhidi ya beki wa Everton, Ramiro Funes Mori aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 50 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield. Liverpool imeshinda 4-0, mabao yake yakifungwa na Origi dakika ya 43, M. Sakho dakika ya 45 na ushei, Daniel Sturridge dakika ya 61 na Philippe Coutinho dakika ya 76
No comments:
Post a Comment