Sunday, April 03, 2016

FURAHA YA USHINDI BWANA...WACHEKI MADRID SASA

Ronaldo-ushindi

Wachezaji wa Real Madrid wakishangalia ushindi wa goli 2-1 dhidi ya wapinzani wao wakubwa Barcelona hapo jana.magoli ya madrid yalifungwa na K.Benzema na C.Ronaldo wakati la Barcelona lilifungwa n pique

No comments:

Post a Comment