El Clasico tangu msimu wa 2009-10 Alivyotua ronaldo madrid
MESSI
24 idadi ya mechi alizocheza
15 idadi ya magoli aliyofunga
10 idadi ya assists alizotoa
CRISTIANO
24 idadi ya mechi alizocheza
15 idadi ya magoli aliyofunga
2 idadi ya assists alizotoa
24 idadi ya mechi alizocheza
15 idadi ya magoli aliyofunga
2 idadi ya assists alizotoa
ila kati ya michezo 24 ya El Clasico waliyokutana, Messi amefanikiwa kuisaidia Barcelona kushinda michezo 12, Ronaldo amefanya hivyo mara 6, huku michezo mingine 6 timu hizo zikitoka sare.
Ukichambua idadi ya magoli yao kwenye mchezo wa El Clasico, Ronaldo amefunga magoli 9 kwenye uwanja wa Nou Camp wakati Messi ametupia mara 10 akiwa Bernabeu. Hiyo inamaanisha wachezaji hao ni hatari kwenye mchezo huo bila kujali wapo kwenye uwanja gani.
No comments:
Post a Comment