Leo katika uwanja wa taifa ligi kuu ya vpl inaendelea katika mechi ya round ya pili kati ya Simba na Prison.katika mechi ya kwanza simnba ilifungwa goli 1-0 na maafande hao wa mbeya.sasa leo ndo marudiano ambao kila timu inataka ushindi Simba ambayo inataka kuongeza gap la point kati yake n Yanga na Azam.na Prison wanatak ushindi kuweza kufika katika nafasi nzuri katika ligi kuu.inakuwa mechi ya kisasi na prison nd timu ya pili kuifunga Simba kwenye ligi kuu msimuu huu na yanga walioifunga simba mechi zote mbili.
sources;bin zubery na millard ayo
No comments:
Post a Comment