Vilabu vya yanga na Azam vya tanzania leo vyote vinashuka dimbani kupeperusha bendera ya taifa kimataifa.klabu ya yanga iliyoko jijini kigali Rwanda ikimenyana na APR kwenye kombe la klabu bingwa la Africa hatua ya pili ya michuano hiyo wakati hii ikiwa nd mechi yao ya kwanza.wakati wenzao wengine wa kimataifa Azam wanamenyana na bidvest ya South Africa leo hii katika kombe la shirikisho.kwa niaba ya wapenzi wote wa soka nchini tunawatakia ushindi timu zetu zilirudi n ushindi.
No comments:
Post a Comment