Vilabu vya yanga na Azam vimefanya kweli baada ya ushindi wa timu zote kupata katika michezo yake iliyochezwa leo.Yanga ambao waliokuwa wanacheza klabu bingwa Afrika dhidi ya Apr imeshinda ugenini nchini Randwa kwa magoli 2-1.magoli ya Yanga yalipatikana kupitia kwa Juma abduly aliyefunga goli zuri kwa mpira wa faulo na lingine likafungwa na kamusoko aliyepata pasi nzuri toka kwa Juma Abduly na goli la kufutia machozi la APR limefungwa na Patrick Sibomana.wakati huohuo ndugu zao Azam waliokuwa wanacheza SOUTH Africa dhidi ya bidvestwits wameshinda goli 3 magoli ya Azam yamefungwa na Salum abubakary 'sureboy' ,shomari kapombe na john bocco 'adebayor'
kikosi ch azam.
picha kutoka maktaba
No comments:
Post a Comment