Friday, May 13, 2016

JOHN TERRY EXTENDED CONTRACT WITH CHELSEA

Terry na wakala wake agent, Paul Nicholls, wamekutana na Mkurugenzi wa Chelsea, Marina Granovskaia na Mwenyekiti, Bruce Buck kwa mazungumzo katika viwanja vyao vya mazoezi vya Cobham wiki hii.
Klabu hiyo imethibitisha leo kwamba Terry anaweza kubakia baada ya Juni 30, wakati Mkataba wake utakapomalizika, ingawa Chelsea imemuachia mkongwe huyo wa umri wa miaka 35 kuamua.
Nahodha wa Chelsea, John Terry amepewa ofa ya Mkataba mpya wa mwaka mmoja abaki msimu ujao

No comments:

Post a Comment