Thursday, May 05, 2016

DIDDY ATAJWA KUWA MWANA HIP HOP WA KWANZA KUWA BILLIONEA


Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five.
13113721_1616302025359655_861365464_n
13113721_1616302025359655_861365464_n
Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na Dr Dre mwenye dola milioni 710 huku Jay Z akifuatia kwa dola milioni 610.
Mwanzilishi wa Cash Money, Birdman amefuatia katika nafasi ya nne akiwa na dola milioni 110. Drake amechukua nafasi ya 50 Cent na kukamata nafasi ya tano kwa utajiri wa dola milioni 60
Sources;bongo 5.

No comments:

Post a Comment