Sunday, April 17, 2016

YANGA YARUDI KILELENI VPL



KLabu ya yanga imerudi killeni baada ya kuifunga mtibwa sugar jana katika dimba la uwanja wa taifa.Yanga walishinda goli 1 -0 lililofungwa na simon msuva katika dakika ya 52 na kufanya kiporo chao kiende sawa na kufikisha points 59 nyuma ya simba yenye points 57 na ya tatu Azam 55.wakati huo huo ligi hiyo inaendelea leo kwa klabu ya Simba kucheza na toto african uwanja wa taifa.

No comments:

Post a Comment