Ni kitambo toka tuanze kusoma vichwa vya habari kwenye Magazeti vikisema ….Yaya Toure kuondoka Man City >>> <<< Man City wamuahidi Yaya Toure asiondoke <<<
Baada ya hivyo vichwa vya habari, taarifa iliyothibitishwa April 4 2016 na wakala wa Yaya inasema hivi >>> ‘Tumesubiri kwa muda mrefu lakini Man City hawajatekeleza chochote kwenye ahadi walizotoa kwahiyo Yaya ataachana na hii club June.
No comments:
Post a Comment