
MCHEZAJI wa kikapu wa Marekani Kobe bryant kustaafu leo jumatano baada ya mechi lakers dhidi ya Utah jazz katika uwanja wa staples center.kobe mwenye miaka 37 anastaafu baada ya kuchezea misimu 20 timu hiyo kwenye ligi ya nba tangu alipojiunga lakers 1996.Kobe bryant anakuwa mchezaji wa tatu kwa kufunga points 33570 na endapo leo akishinda ataongeza point tu ila bdo anakuwa mtu wa 3.
No comments:
Post a Comment