Saturday, April 02, 2016

MESSI NA WATOTO WA OBAMA TENA......

Malia and Sasha
Messi awatumia jezi watoto wa Obama baada ya kukosa kuonana nchini Argentina watoto hao Sasha na Malia walipotaka kuonana nae.Messi ameamua kuwatumia jezi ya Argentina yenye majina yao na kusign katika jezi hiyo.

C.RONALDO VS L.MESSI.....


El Clasico tangu msimu wa 2009-10 Alivyotua ronaldo madrid
MESSI
24 idadi ya mechi alizocheza
15 idadi ya magoli aliyofunga
10 idadi ya assists alizotoa
CRISTIANO
24 idadi ya mechi alizocheza
15 idadi ya magoli aliyofunga
2 idadi ya assists alizotoa
ila  kati ya michezo 24 ya El Clasico waliyokutana, Messi amefanikiwa kuisaidia Barcelona kushinda michezo 12, Ronaldo amefanya hivyo mara 6, huku michezo mingine 6 timu hizo zikitoka sare.
Ukichambua idadi ya magoli yao kwenye mchezo wa El Clasico, Ronaldo amefunga magoli 9 kwenye uwanja wa Nou Camp wakati Messi ametupia mara 10 akiwa Bernabeu. Hiyo inamaanisha wachezaji hao ni hatari kwenye mchezo huo bila kujali wapo kwenye uwanja gani.